Mchezo umetamatika: Michuano ya Kombe la shirikisho barani Africa (CAFFCL) & klabu bingwa Africa (CAFCL)

Mchezo umetamatika: Michuano ya Kombe la shirikisho barani Africa (CAFFCL) & klabu bingwa Africa (CAFCL)

Revoo

Member

Reputation: 19%
Joined
Dec 12, 2024
Messages
169
Wawakirishi wa Tanzania Simba sports club wamepata Ushindi katika mchezo wa tatu Kwenye kundi A dhidi ya Cs Sfaxien ya Tunisia Magoli yamefungwa na Kibu Denis katika dakika ya 7' na 97' huku bao pekee la Cs Sfaxien likifungwa katika dakika ya 3, Simba wamefikisha alama Sita sawa na Cs Constantine ya Algeria yenye michezo miwili.

Huku michezo mingine iliyomalizika Leo ni

  1. CD Lunda sul 0 vs 1 Stellenbosch FC
  2. Orapa United 0 vs 0 Asc Jaraaf
  3. Associacao Black bulls 3 vs 0 Enyimba
20241215_180711.webp


Kunako klabu bingwa Africa CAFCL Mabingwa wa Africa super league Manelodi sundowns wamepata Ushindi Wao wa Kwanza katika kundi B na kuwafanya wafikishe alama 5 sawa na Fah Rabati yenye michezo miwili pekee.
Raja Casablanca wanasalia mkiani wakiwa na alama Moja pekee walioipata Kwenye mchezo Wao wa pili dhidi ya Maniema.

20241215_180727.webp
 
Back
Top Bottom