Mchezo Umetamatika: Singida bs 0 vs 1 Simbasc Nbc PL 2024/2025

Mchezo Umetamatika: Singida bs 0 vs 1 Simbasc Nbc PL 2024/2025

Revoo

Member

Reputation: 19%
Joined
Dec 12, 2024
Messages
169
Plan ya Fadlu Davids imeanzia kWa huyu mwamba “Jean Charles Ahoua” wakati timu inashambulia kuwa na uharaka wa kufanya maamuzi na pass sahihi kwenda mbele 👏

Ahoua akiwa na mali Kibu anakuwa wides zaidi the same na Mpanzu + Mukwala sio standing straiker anamove nafasi nyingine (spaces zinakuwa nyingi kwa Ahoua kupasi 👏)

Assist yake ya tano msimu huu kwenye NBCPL .
FB_IMG_1735328382068.webp

Game bora kuishuudia…. High intensity 🔥 Simba wameunda mashambulizi kwa uharaka sana kwa kutumia mawings wao (Mpanzu na Kibu) ambao wanakuwa wides sana : Simba wanaanza Build Up vizuri sana wanaipita pressing ya Singida kwa pasi fupi fupi + Position ya viungo wao 👍

Singida hawakuzuia wakiwa chini walianza kuwa kuwapress Simba kuanzia juu lakini pressing yao haikuwa nzuri sana . Build Up wanapoteza mipira kirahisi mno na Simba wanapressing na idadi nzuri ya wachezaji then wanafanya “Quicky Transition” iliwapa wakati mgumu Singida .

Metcha Mnata 🤔 Mpanzu mtu sana 👏 Anthur Bada 🔥 Kagoma anachafua sana pale kwenye kiungo ✅
FB_IMG_1735397887093.webp
 
Back
Top Bottom