- Joined
- Dec 12, 2024
- Messages
- 160
Klabu ya Simba sports club itasafiri tena Kuwafuata bravo do Maquis nchini Angola katika michuano ya shirikisho barani Africa CAFCC.
Mchezo Huo ni Mchezo mhimu sana Kwa Mnyama Simba kwani endapo akashinda au kutoa sare itampa nafasi ya kufuzu Moja Kwa Moja Kwenye hatua ya robo fainali Africa CAFCC kwani mpaka Sasa imevuna alama Tisa sawa na Kimara wa kundi A Cs Constantine mwenye alama Tisa na yeye huku Kila mmoja amecheza michezo minne, bravo do Maquis anafuatia nafasi ya tatu na alama Sita Endapo atashinda mbele ya Simba sports club basi atamfikia Simba mwenye alama Tisa na kufanya Simba ipige Hesabu ndefu Zaidi Ili ifuzu robo fainali Africa CAFCC.