Mfumo wa Maombi ya Vyuo Udahili wa Pamoja (CAS) 2025

Mfumo wa Maombi ya Vyuo Udahili wa Pamoja (CAS) 2025 NACTVET

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Huu hapa Mfumo wa Maombi ya Vyuo Udahili wa Pamoja (CAS) 2025 Tangazo la Kujiunga na Vyuo vya Afya na Sayansi Shirikishi kwa Mwaka wa Masomo 2025/2026 Mwisho wa Kutuma Maombi ya Mzunguko wa Kwanza: Tarehe 11/07/2025.

Mambo Muhimu ya Kuzingatia:
  1. Hakikisha unatumia barua pepe (email) inayofanya kazi na namba ya simu ambayo inatumika.
  2. Chagua kozi unayoipendelea kulingana na sifa zako.
  3. Unaweza kuchagua hadi vyuo/programu 12 kwa wakati mmoja.
  4. Ada ya maombi ni Tsh 15,000 kwa chuo kimoja na ukomo ni Tsh 45,000 kwa vyuo/programu zote (ada haitarudishwa).
  5. Utapewa namba ya malipo (Control Number) baada ya kujaza maombi.
  6. Malipo yanaweza kufanyika kwa Tigo Pesa, M-Pesa, Airtel Money au benki.
  7. Kabla hujachagua kozi yoyote, soma Mwongozo wa Uandikishaji kujua sifa zinazohitajika kwa kila programu.
Tuma maombi hapa
Mfumo wa Maombi ya Vyuo Udahili wa Pamoja (CAS) 2025
 
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom