Mitihani ya Watumishi wa Umma August 2025 Chuo cha Utumishi Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC), kinawatangazia watumishi wote wa Umma wanaotarajia kufanya mitihani ya Utumishi wa Umma kwa mwezi Agosti, 2025 kuwa kozi ya mapitio ya mitihani itafanyika kuanzia tarehe 4 hadi 22 Agosti, 2025 kwa watahiniwa watakaohudhuria kwa njia ya ana kwa ana na kwa upande wa mapitio kwa njia ya mtandao yataanza tarehe 8 Julai hadi 15 Agosti, 2025 na kufuatiwa na mitihani itakayofanyika kuanzia arehe 25 hadi 29 Agosti, 2025 katika vituo vyote vya Dar es Salaam, Tabora, Mtwara, Singida, Tanga, Mbeya na Dodoma.
Pakua PDF zote.
Pakua PDF zote.
- BONYEZA HAPA KUPATA MAELEZO ZAIDI
- BONYEZA HAPA KUPAKUA FOMU YA MAOMBI
- BONYEZA HAPA KUPAKUA RATIBA YA MITIHANI
Kubadilisha tahasusi 2025
Kubadili Combination
HESLB Kuongeza idadi wa Wanufaika Mkopo Elimu ya Juu
2025/2026 OLAMS-HESL