Mitihani ya Watumishi wa Umma August 2025 Chuo cha Utumishi

Mitihani ya Watumishi wa Umma August 2025 Chuo cha Utumishi TPSC

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.

Gift

Administrator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
1,446
Mitihani ya Watumishi wa Umma August 2025 Chuo cha Utumishi Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania (TPSC), kinawatangazia watumishi wote wa Umma wanaotarajia kufanya mitihani ya Utumishi wa Umma kwa mwezi Agosti, 2025 kuwa kozi ya mapitio ya mitihani itafanyika kuanzia tarehe 4 hadi 22 Agosti, 2025 kwa watahiniwa watakaohudhuria kwa njia ya ana kwa ana na kwa upande wa mapitio kwa njia ya mtandao yataanza tarehe 8 Julai hadi 15 Agosti, 2025 na kufuatiwa na mitihani itakayofanyika kuanzia arehe 25 hadi 29 Agosti, 2025 katika vituo vyote vya Dar es Salaam, Tabora, Mtwara, Singida, Tanga, Mbeya na Dodoma.

Pakua PDF zote.
Mitihani ya Watumishi wa Umma August 2025 Chuo cha Utumishi
 
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom