- Joined
- Dec 12, 2024
- Messages
- 169
Rais wa heshima na Mwenyekiti wa bodi ya wakurungezi wa klabu ya Simba, Mohamed Dewji 'Mo' amewasilisha ofa ya dola 300,000 (Zaidi ya milioni 730 za Kitanzania) Pamoja na Aishi Manula kwa maboss wa klabu ya Azam kwa ajili ya kumhitaji kiungo mshambuliaji wa klabu hiyo Feisal Salum 'Fei Toto'.