MSAADA CHETI

MSAADA CHETI

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026
Naomba msaada, nimepoteza cheti Cha form 6, nifanyeje ili kupata kingine??
Nenda NECTA Watakupatia utaratibu mzima ni nini ufanye.

Hakuna njia nyingine ya kupita isipokuwa kwenda NECTA
 
Similar content Most view View more
Back
Top Bottom