- Joined
- Dec 4, 2024
- Messages
- 58
Habari, Naomba msaada namna ya kuingia kwenye portal ya Uhamiaji ikiwa nilifungua account na nikasahau neno la siri na sikufika kwenye hatua ya kuthibitisha Email . Na nilipo jaribu kuwatafuta juu ya hili mwanzo waliniambia kwamba account yangu tayari ilikua imepewa namba ya Msimbo kwa Email yangu ivyo niende sehem ya forget password ili niweze kurest password, lakini niliwa waelekeza ilo wakaniambia niwatafute tena kwa Email yao ambapo adi leo sijapata jibu juu ya hilo