MSAADA WA BARUA

MSAADA WA BARUA

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.

GODFREY MABULA MALEBO

New member

Reputation: 1%
Joined
Jan 21, 2025
Messages
4
Je hii barua yangu ipo sahihi kwenye upande wa receiver's address na vipengele vengine, kama kuna kitu hakipo sawa chochote tuelekezane, nazungumzia kwenye ili tangazo la UAE, DUBAI, MSAADA PLZ
 
Download PDF

  • APPLICATION LETTER.webp
    APPLICATION LETTER.webp
    258 KB · Views: 47
  • Nafasi za kazi Epvate & Fortune International Consulting.webp
    Nafasi za kazi Epvate & Fortune International Consulting.webp
    153.3 KB · Views: 38
Je hii barua yangu ipo sahihi kwenye upande wa receiver's address na vipengele vengine, kama kuna kitu hakipo sawa chochote tuelekezane, nazungumzia kwenye ili tangazo la UAE, DUBAI, MSAADA PLZ
SEHEMU YA KICHWA CHA HABARI UNAPOULIZA HUMU ANDIKA SWALI LAKO HAPO SIO UNAISHIA KUANDIKA "MSAADA"

HIYO SEHEMU ANDIKA SWALI LAKO LIELEWEKE THEN KWENYE MAELEZO NDIO WEKA MAELEZO YOTE

Kwenye swala lako la barua soma vigezo vzr jifunze kutuma maombi na jifunge pia jinsi ya kuandika CV au cover letter kulingana na tangazo.
 
Daah yaani hata sielewi najfunzia wapi yaan mpaka nmeomba msaada yaani nisaidike tu jmn
 
Similar threads Most view View more
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom