- Joined
- Jan 21, 2025
- Messages
- 4
Je hii barua yangu ipo sahihi kwenye upande wa receiver's address na vipengele vengine, kama kuna kitu hakipo sawa chochote tuelekezane, nazungumzia kwenye ili tangazo la UAE, DUBAI, MSAADA PLZ
Download PDF
Download PDF
SEHEMU YA KICHWA CHA HABARI UNAPOULIZA HUMU ANDIKA SWALI LAKO HAPO SIO UNAISHIA KUANDIKA "MSAADA"Je hii barua yangu ipo sahihi kwenye upande wa receiver's address na vipengele vengine, kama kuna kitu hakipo sawa chochote tuelekezane, nazungumzia kwenye ili tangazo la UAE, DUBAI, MSAADA PLZ
Daah yaani hata sielewi najfunzia wapi yaan mpaka nmeomba msaada yaani nisaidike tu jmnSEHEMU YA KICHWA CHA HABARI UNAPOULIZA HUMU ANDIKA SWALI LAKO HAPO SIO UNAISHIA KUANDIKA "MSAADA"
HIYO SEHEMU ANDIKA SWALI LAKO LIELEWEKE THEN KWENYE MAELEZO NDIO WEKA MAELEZO YOTE
Kwenye swala lako la barua soma vigezo vzr jifunze kutuma maombi na jifunge pia jinsi ya kuandika CV au cover letter kulingana na tangazo.
| S |
Msaada wa maswali ya Civil Technician II TRA
|
| G |
Naomba msaada wa notes za customer service TAA
|
| O |
Msaada wa maswali ya Estate officer II TRA
|
| S |
Msaada wa maswali ya Civil Technician II TBS
|
|
|
Naomba msaada wakujua
|