S

Msaada wa maswali ya Civil Technician II TBS

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Habari za majukum wadau.
Natanguliza shukran kwa yeyote atakayefanikisha upatikanaji wa maswali ya usahili ya TBS nafasi ya Civil Technician II.
Japo muundo wa maswali yao yanakuaje
Mungu awabariki sana.
Ngoja wataalamu waje wayatume hapa
 
Similar threads Most view View more
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom