Msimamo Wa Kundi La Simba Sports Club Kundi A TotalEnergiesCAFCC 2024/2025

Msimamo Wa Kundi La Simba Sports Club Kundi A TotalEnergiesCAFCC 2024/2025

Revoo

Member

Reputation: 18%
Joined
Dec 12, 2024
Messages
160
Huu hapa msimamo wa kundi la Simba sports club Katika Michuano ya Kombe la shirikisho barani Africa CAFCC.

Simba akiwa anaongoza kundi hilo akiwa na points Tisa na michezo minne huku bravo do Maquis wakifuatia nafasi ya pili akiwa na alama Sita sawa na Cs Constantine wakiwa wamecheza michezo mitatu huku Cs sfaxien wakishika mkia na hawana alama yoyote na akiwa amecheza michezo minne sawa na Simba.
Screenshot_20250105-213045~2.webp
 
Back
Top Bottom