- Joined
- Dec 12, 2024
- Messages
- 194
Huu hapa msimamo wa kundi A analoshiriki Yanga ya Tanzania Kwenye Michuano ya Kombe la Klabu Bingwa Africa Ngazi ya Makundi.
Yanga inahitaji kushinda Kwenye Mchezo Wao Dhidi ya Al Hilal Omdurman Ya Sudan ugenini ili kufufua matumaini ya kufuzu hatua inayofuata robo fainali.