Msimamo Wa Kundi La Yanga Kundi A Baada Ya Mchezo Wa Jana Mc Alger 1 Vs 0 Tp Mazembe TotalEnergies CAFCL

Msimamo Wa Kundi La Yanga Kundi A Baada Ya Mchezo Wa Jana Mc Alger 1 Vs 0 Tp Mazembe TotalEnergies CAFCL 2024/2025

Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.

Revoo

Member

Reputation: 22%
Joined
Dec 12, 2024
Messages
194
Huu hapa msimamo wa kundi A analoshiriki Yanga ya Tanzania Kwenye Michuano ya Kombe la Klabu Bingwa Africa Ngazi ya Makundi.
20250111_065153.webp

Yanga inahitaji kushinda Kwenye Mchezo Wao Dhidi ya Al Hilal Omdurman Ya Sudan ugenini ili kufufua matumaini ya kufuzu hatua inayofuata robo fainali.
 
Back
Top Bottom