- Joined
- Dec 4, 2024
- Messages
- 58
Pole na majukumu. Changamoto yangu kuu ni hii bachelor degree of science in agricultural natural resources economics and business inayotolewa chuo kikuu cha Dar es salaam kutokupewa nafasi sawa katika nafasi kadha wa kadha, mfano mchumi zinazokuwa zinatangazwa kupitia ajira portal.
Mfano mzuri ni hizi nafasi za Benki kuu ya tanzania. The same bachelor degree ambapo tofauti yake unaweza kuiona tu kwenye majina yake yani Bachelor of science in agricultural economics and agribusiness kutoa SUA wao wana chance ya kuomba nafasi hii. Changamoto kubwa hapa ni ipi haswa, ambayo inamzuia graduate kutoa UDSM kukoksa haki yake hii ya msingi?