Waliopata Mkopo awamu ya Nne HESLB 2024/2025 | Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu

Waliopata Mkopo awamu ya Nne HESLB 2024/2025 | Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu 29 Oktoba 2024

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.

Gift

Administrator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
1,320
Gift submitted a new resource:

Waliopata Mkopo awamu ya Nne HESLB 2024/2025 | Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu - Orodha ya majina ya Waliopata Mkopo awamu ya Nne HESLB 2024/2025 | Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi.

Hii hapa orodha ya majina ya Waliopata Mkopo awamu ya Nne HESLB 2024/2025 | Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu. Fursa Mpya za Rufaa kwa Mikopo ya Elimu ya Juu Kufunguliwa Novemba 4 - 11, 2024

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo Jumanne, Oktoba 29, 2024, imetangaza kuwa Awamu ya Nne (Batch Four) ya mikopo kwa mwaka wa masomo 2024/2025 imeshatolewa kwa wanafunzi 9,068 wanaoanza masomo ya shahada ya awali na stashahada katika vyuo mbalimbali nchini. Jumla ya...

Read more about this resource...
 
Similar threads Most view View more
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom