Hili hapa Tangazo la nafasi za kazi kutoka Bariadi November 2024. Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi amepokea kibali cha ajira mpya katika mwaka wa fedha 2023/2024 chenye Kumb.Na FA.97/288/01/09 cha tarehe 25/06/2024 kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na utawala Bora. Hivyo, Watanzania wenye sifa wanakaribishwa kutuma maombi ya kujaza nafasi za kazi kumi (10 ) kama zilivyoainishwa katika Tangazo hili.
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 4 mwezi wa 12, 2024.
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 4 mwezi wa 12, 2024.
Attachments