Nafasi 17 za Ajira Mpya OSHA

Nafasi 17 za Ajira Mpya OSHA Fursa

Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hili hapa tangazo la Nafasi za Kazi 17 OSHA March 2025, Kwa niaba ya Mamlaka ya Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA), Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inakaribisha Watanzania wenye sifa, uzoefu, ueledi, na ari ya kazi kujaza nafasi kumi na saba (17) zilizo wazi zilizotajwa hapa chini.
Nafasi 17 za Ajira Mpya OSHA Ajira Mpya 2025
 

Download PDF

Last edited:
Similar content Most view View more
Back
Top Bottom