Chuo Kikuu cha Tumaini Makumira (TUMA) ni chuo kikuu binafsi kinachomilikiwa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (ELCT). Chuo hiki kipo Usa-River, kilomita 16 kutoka Jiji la Arusha, kando ya barabara ya Arusha - Moshi. Kwa maono yake ya kuwa taasisi ya elimu ya juu inayozingatia maadili ya Kikristo kwa ubora na matumaini, TUMA inakaribisha maombi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na ujuzi wa kutosha kujaza nafasi zifuatazo za ajira chuoni hapo.
Bonyeza hapo chini kupakua PDF.
Bonyeza hapo chini kupakua PDF.
Nafasi 24 za Ajira Mpya Mount Meru Hotel
Nafasi za Kazi 2025
Nafasi 4 za Ajira Mpya NBC Bank Tanzania
Nafasi za Kazi 2025
Attachments