Nafasi 24 za Ajira Mpya Chuo Kikuu cha Tumaini Makumira (TUMA)

Nafasi 24 za Ajira Mpya Chuo Kikuu cha Tumaini Makumira (TUMA) Nafasi za Kazi 2025

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Chuo Kikuu cha Tumaini Makumira (TUMA) ni chuo kikuu binafsi kinachomilikiwa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (ELCT). Chuo hiki kipo Usa-River, kilomita 16 kutoka Jiji la Arusha, kando ya barabara ya Arusha - Moshi. Kwa maono yake ya kuwa taasisi ya elimu ya juu inayozingatia maadili ya Kikristo kwa ubora na matumaini, TUMA inakaribisha maombi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na ujuzi wa kutosha kujaza nafasi zifuatazo za ajira chuoni hapo.
Nafasi 24 za Ajira Mpya Chuo Kikuu cha Tumaini Makumira (TUMA)


Bonyeza hapo chini kupakua PDF.
 

Download PDF

Similar threads Most view View more
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom