Nafasi 25 za internship Chama cha Wanawake Wafanyabiashara Tanzania (TWCC)

Nafasi 25 za internship Chama cha Wanawake Wafanyabiashara Tanzania (TWCC)

Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
1000016594.webp

Chama cha wanawake wafanya biashara tanxania (TWCC) Kimetangaza nafasi 25 za Internship kwa :-

Business Develooment Officer -Afisa Maendeleo ya Biashara (Internships)

Shirika: Chama cha Wanawake Wafanyabiashara Tanzania (TWCC)
Idara: Idara ya Huduma kwa Wanachama na Ufikishaji
Anayeongoza: Afisa Mwandamizi wa Maendeleo ya Biashara
Idadi ya Nafasi: 25

Mahali:
Morogoro, Dodoma, Singida, Tabora, Kigoma, Mwanza, Geita, Shinyanga,
Mara, Simiyu, Kagera, Kilimanjaro, Arusha, Manyara, Lindi, Mtwara, Ruvuma, Katavi, Rukwa, Njombe, Iringa, Mbeya, Songwe, Pwani/Mkoa wa Pwani, na Zanzibar.


Qualifications na Uzoefu

Shahada ya kwanza katika Utawala wa Biashara, Utafiti wa Maendeleo, Uchumi, Maendeleo ya Vijijini na Jumuiya, au nyanja yoyote inayohusiana nayo

Jinsi ya Kutuma Maomb

Tuma maombi kwa [email protected] na [email protected] kabla ya Januari 5, 2025. Hakikisha maombi yako yanaelezea mkoa wako wa sasa wa makazi.
 

Download PDF

Back
Top Bottom