Hizi hapa Nafasi 400 za Mkataba Wizara ya Afya | Ajira Mpya Kada za Afya Desemba 2024. Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Tamisemi kwa kushirikiana na Wizara ya afya inaendelea na utekelezaji wa mpango wa uwekezaji katika afya ya mama na mtoto nchini Tanzania yaani Tanzania Maternal and Child Health Investment Program (TMCHIP) unaofadhiliwa na Benki ya Dunia,
Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa inawatangazia wananchi wote raia wa Tanzania wenye uwezo na sifa za kujaza nafasi za ajira za 400 za Mkataba kwa Kada za Afya watakaofanya kazi katika Halmashauri mbalimbali hapa nchini.
Hivyo, wahitimu kutoka kwenye Vyuo vya Elimu ya Juu na Vyuo vya Afya vinavyotambuliwa na Serikali wanatangaziwa kutuma maombi ya kazi kuanzia tarehe 6 - 20, Desemba, 2024. Nafasi za ajira zilizopo ni kwa wahitimu wa Astashahada (Certificate), Stashahada (Diploma) na Shahada (Degree)

Ajira zilizo tangazwa
Hizi hapa jumla ya nafasi za ajira zilizo tangazwa kwa watanzania wote kuanzia leo;- Jinsi ya Kutuma Maombi Ajira za Mkataba Kwa Kada za Afya TAMISEMI December 2024 | Ajira mpya Sekta ya Afya
- Nafasi za Mteknolojia Msaidizi (Dawa)
- Nafasi za Muuguzi Daraja la II
- Nafasi za Mteknolojia (Maabara) Daraja la II
- Nafasi za Mteknolojia (Mionzi) Daraja la II - TGHS B
- Nafasi za Mteknolojia Msaidizi Maabara – TGHS A
- Nafasi za Afisa Muuguzi Msaidizi Daraja la II - TGHS B
- Nafasi za Mteknolojia (Dawa) Daraja la II - TGHS B
- Nafasi za Tabibu Daraja la II - TGHS B
- Nafasi za Tabibu Meno Daraja la II - TGHS B
- Nafasi za Daktari Daraja la II – TGHS E
- Nafasi za Ajira 400 za Mkataba kwa Kada za Afya December 2024/2025 | Ajira Mpya Tamisemi 2024