Nafasi 77 Ajira Mpya Kampuni ya Sukari Kilombero (KSCL) ndiyo wazalishaji wakubwa wa sukari hapa nchini, ikijulikana zaidi kwa jina la chapa yake maarufu, "Bwana Sukari".
KSCL ni sehemu ya kundi la Illovo Sugar Africa, ambalo ndilo linaloongoza kwa uzalishaji wa sukari barani Afrika. Kundi hili lina shughuli nyingi za kilimo na viwanda katika nchi sita za Afrika: Afrika Kusini, Malawi, Msumbiji, Eswatini, Zambia na Tanzania. Illovo Sugar Africa ni kampuni tanzu inayomilikiwa kabisa na Associated British Foods plc (ABF), ambayo imesajiliwa katika Soko la Hisa la London.
KSCL iko Kidatu, katika Bonde la Kilombero, mkoani Morogoro. Kampuni inaendesha mashamba ya kilimo na viwanda vya sukari viwili: Msolwa na Ruembe, vilivyopo katika wilaya za Kilombero na Kilosa, vikitenganishwa na Mto Ruaha Mkuu.
Bonyeza hapa kutuma maombi

Nafasi za Kazi Bagamoyo Sugar Tanzania
18-04-2025