NAFASI ZA AFISA TEHAMA II (PROGRAMMER) MDAs & LGAs

NAFASI ZA AFISA TEHAMA II (PROGRAMMER) MDAs & LGAs Ajira mpya 15

Hizi hapa nafasi za kazi za Afisa Tehama daraja la pili (Programmer) kutoka MDAs & LGAs zilizo tangazwa kwa watanzania wote kupitia Ajira Portal.
NAFASI ZA AFISA TEHAMA II (PROGRAMMER) MDAs & LGAs

Mwombaji awe na Stashahada ya juu au Shahada ya Kompyuta katika moja ya fani zifuatazo; Sayansi ya Kompyuta, Teknolojia ya Habari, Teknolojia ya Habari na Mawasiliano na Menejimenti ya Mifumo ya Habari au mafunzo mengine yanayohusiana na fani hii, kutoka katika Vyuo au Taasisi za elimu ya juu zinazotambuliwa na Serikali.

Bonyeza hapa kutuma maombi sasa
 
Similar threads Most view View more
Back
Top Bottom