NAFASI ZA AFISA USTAWI WA JAMII DARAJA LA II MDAs & LGAs

NAFASI ZA AFISA USTAWI WA JAMII DARAJA LA II MDAs & LGAs Ajira Mpya 5

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi.
Hizi hapa nafasi za kazi za Afisa Ustawi wa Jamii daraja la II - Radiolojia (Radiograogy Technologist II) kutoka MDAs & LGAs zilizo tangazwa kupitia Utumishi Ajira portal.
NAFASI ZA AFISA USTAWI WA JAMII DARAJA LA II MDAs & LGAs

Kuajiriwa wenye Shahada ya Sanaa /Stashahada ya Juu katika fani za ‘Social Work’ ‘Sociology’,'Psychology','Social Protection','Guidance and Counseling', 'Theology',' Divinity', 'Child Protection', 'Social Policy','Early Childhood Development' au 'Social Gerontology' kutoka Chuo cha elimu ya juu kinachotambuliwa na Serikali.

Bonyeza hapa kutuma maombi
 
Similar threads Most view View more
Back
Top Bottom