S

Nafasi za Ajira Kutoka Wilaya ya Kyela Utumishi Octoba 2024

Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.

Sia

Moderator

Staff member
Reputation: 89%
Joined
Oct 20, 2024
Messages
792
Leo, Sekretarieti ya Ajira wametangaza nafasi za kazi Kufuatia Halmashauri ya Wilaya ya Kyela kupata kibali cha ajira mbadala chenyeKumb.Na.FA.97/288/01/09 cha tarehe 25 Juni, 2024 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisiya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kuhusu ajira mpya.Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kyela anatangaza nafasi za kazina anakaribisha maombi kwa Watanzania wenye sifa za kujaza nafasi kamazilivyoorodheshwa katika tangazo hili:-

Nafasi zilizo tangazwa​

  1. Msaidizi Maendeleo ya Jamii Daraja la III – Nafasi 10
  2. Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II - Nafasi 05
  3. Mwandishi Mwendesha Ofisi II - Nafasi 06
MUHIMU: Kumbuka kuambatanisha barua yako ya maombi ya kazi iliyosainiwa pamoja na vyeti vya elimu, aidha anuani ya barua hiyo ielekezwe kwa;
MKURUGENZI MTENDAJI (W)
Halmashauri ya Wilaya ya KYELA
S.L.P 320, Kyela.
PDF ya tangazo hili download hapa.
 
Back
Top Bottom