Hili hapa tangazo la Nafasi za Ajira ya Mkataba Madereva COPRA Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko(COPRA)anawatangazia watanzania wote wenye sifa na nia ya kufanya kazi ya udereva kutumamaombi yakazi kwa nafasi kumi na nne (14) za kuajiri madereva kwa mkataba.
Tuma maombi hapa.
Tuma maombi hapa.