NAFASI ZA DAKTARI WA UPASUAJI WA KINYWA NA MENO II (DENTAL SURGEON II) MDAs & LGAs

NAFASI ZA DAKTARI WA UPASUAJI WA KINYWA NA MENO II (DENTAL SURGEON II) MDAs & LGAs Ajira mpya 102

Hizi hapa nafasi za kazi za Daktari wa upasuaji wa kinywa na meno daraja la pili (Dental Surgeon II) kutoka MDAs & LGAs zilizo tangazwa kupitia Ajira Portal leo.
NAFASI ZA DAKTARI WA UPASUAJI WA KINYWA NA MENO II (DENTAL SURGEON II) MDAs & LGAs

Kuajiriwa wenye shahada ya udaktari wa upasuaji wa kinywa na meno kutoka vyuo vinavyotambuliwa na serikali waliomaliza “Internship” na kusajiliwa na Baraza la Madaktari Tanganyika.

Bonyeza hapa kutuma maombi sasa
 
Similar threads Most view View more
Back
Top Bottom