New member
- Joined
- Mar 19, 2025
- Messages
- 1
Kwa sisi wanafunzi wa bachelor hasa mwaka wa pili inakua ni shida sana kupata nafasi za field kwa wakati. Naomba kujua je ni sector ghani au mashirika ghani ambayo tunaweza pata nafasi hasa kwa wanafunzi wanaotakiwa kuanza field zao mwez wa saba mwaka 2025?