Nafasi za Internship Taaisi ya Uongozi December 204

Nafasi za Internship Taaisi ya Uongozi December 204

GiftVerified member

Administrator

Staff member
Reputation: 88%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
607
Taaisi ya Uongozi wa Afrika kwa Maendeleo Endelevu, maarufu kama Taasisi ya UONGOZI, ni kituo cha kikanda cha maendeleo ya uongozi kinachoendeshwa chini ya Ofisi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Taasisi hii ilianzishwa mwaka 2010 kwa ushirikiano wa Serikali za Tanzania na Finland, ikiwa na malengo ya kuwahamasisha na kuwawezesha viongozi wa Afrika kutoa suluhisho jumuishi na endelevu kwa mataifa yao na bara zima.
Nafasi za Internship Taaisi ya Uongozi December 204

Taasisi inajikita katika nguzo mbili kuu – uongozi na maendeleo endelevu – ambazo zinashughulikiwa kupitia maeneo manne makuu: mafunzo kwa viongozi, majadiliano ya sera, tafiti zenye lengo la kuchochea utekelezaji, na msaada wa kiufundi.

Kitengo cha Ufuatiliaji na Tathmini (M&E) cha Taasisi hii kinasaidia utekelezaji wa mpango mkakati wa taasisi kwa kuratibu mchakato wa mipango, kufuatilia na kuchambua utendaji kazi, na kukuza utamaduni wa uwajibikaji na ufanisi.
 

Attachments

Back
Top Bottom