Nafasi za kazi 10 Manispaa ya Kahama December 2024

Nafasi za kazi 10 Manispaa ya Kahama December 2024

Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.

Gift

Administrator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
1,576
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kahama anapenda kuwatangazia Wananchi wote wenye sifa, nafasi ya Ajira ya Mkataba kwa kada za Afya ikiwemo:
  • Madaktari wa Binadamu (Medical Doctor): nafasi (7),
  • Mteknolojia wa Radiolojia na Mionzi: nafasi mbili (2),
  • Dobi: nafasi (1).
Nafasi za kazi 10 Manispaa ya Kahama December 2024.webp

MAMBO YA JUMLA YA KUZINGATIA
I. Awe na umri wa miaka 18-45 (Ambatanisha cheti cha kuzaliwa).
II. Waombaji waambatishe vivuli vya Vyeti vyao vya Elimu na taaluma pamoja na maelezo binafsi (CV).
III. Katika barua ya maombi, weka Namba yako ya simu inayopatikana muda wote.
IV. Barua zibandikwe picha mbili (2) - Passport size.
V. Waombaji watakaokidhi sifa na vigezo watajulishwa tarehe ya usaili.
VI. Mwisho wa kupokea maombi ni 21 Desemba, 2024 saa 9:30 alasiri.
VII. Maombi yote yatumwe kwa Anuani ifuatayo:

Mkurugenzi wa Manispaa,
Barabara ya Boma,
S.L.P 472,
KAHAMA.
 

Download PDF

Last edited:
Back
Top Bottom