Nafasi za Kazi 144 Kutoka TEMESA | Ajira Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania

Nafasi za Kazi 144 Kutoka TEMESA | Ajira Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania 31 Oktoba 2024

Haya hapa Matokeo ya Kidato cha Sita TUNDURU SECONDARY SCHOOL 2026-S0404 yaliyotangazwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) Katika Mtihani wa Form six (ACSEE) 2026/2027 jumla ya wanafunzi wengi wamefaulu.
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la wanachuo waliomaliza kidato cha sita 2026 hapa baada ya matokeo ya form six 2026

Gift

Administrator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
1,737
Gift submitted a new resource:

Nafasi za Kazi 144 Kutoka TEMESA | Ajira Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania - Tangazo la Nafasi za Kazi Kutoka TEMESA - Ajira Mpya Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania PDF leo.

Hizi hapa 144 Nafasi za Kazi Kutoka TEMESA - Ajira Mpya Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania PDF leo tarehe 31 oktoba 2024 zilizo tangazwa kwa Watanzania wote wenye sifa waweze kutuma maombi.

Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA) ulianzishwa tarehe 26 Agosti, 2005 chini ya Sheria ya Wakala wa Utendaji Na. 30 ya mwaka 1997 kupitia Tangazo la Serikali Na. 254. Lengo kuu la Wakala huu ni kutoa huduma bora na za uhakika za umeme, mitambo, na vifaa vya kielektroniki, huduma salama za...

Read more about this resource...
 
Similar content Most view View more
Back
Top Bottom