Nafasi za kazi 3630 Ajira Mpya za Walimu Tanzania December 2024 Zilizo tangazwa Hizi Hapa

Nafasi za kazi 3630 Ajira Mpya za Walimu Tanzania December 2024 Zilizo tangazwa Hizi Hapa

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.

Gift

Administrator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
1,320
Nafasi za kazi 3630 Ajira Mpya za Walimu Tanzania December 2024, Ajira za ualimu Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma, kwa niaba ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na Mamlaka za Serikali ya Mtaa (LGA’s) anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenyesifa na uwezo wa kujaza nafasi Elfu tatu mia sita na thelathini (3630) kama ilivyoainishwa katika tangazo hili.
Nafasi za kazi 3630 Ajira Mpya za Walimu Tanzania December 2024 Zilizo tangazwa Hizi Hapa

Ajira mpya za walimu 2024 zilizo tangazwa​

Nafasi za walimu 2024​

Bonyeza hapa kuangalia ajira mpya za walimu 2024 zote
 
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom