Nafasi za kazi 70 Pasiansi Wildlife Security Company Limited (PASCO) Disemba 2024

Nafasi za kazi 70 Pasiansi Wildlife Security Company Limited (PASCO) Disemba 2024

Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.

Sia

Moderator

Staff member
Reputation: 89%
Joined
Oct 20, 2024
Messages
792
Mkurugenzi wa Kampuni ya Ulinzi ya Pasiansi Wildlife Security Company Limited (PASCO) anatangaza nafasi 70 za ulinzi kwa wahitimu waliomaliza katika Chuo cha Taaluma ya Wanyamapori-Pasiansi.
Nafasi za kazi 70 Pasiansi Wildlife Security Company Limited (PASCO) Disemba 2024

Sifa za mwombaji​

i) Amehitimu mafunzo ya mwaka mmoja yanayotolewa na Chuo cha Taaluma ya Wanyamapori-Pasianis katika ngazi ya astashahada ya awali na astashahada ya Uhifadhi wa Wanyamapori na Uongozi wa watalii.
ii) Awe na umri wa miaka 25 na kuendelea.
iii) Amehitimu kidato cha nne na kuendelea.
iv) Awe na cheti cha kuzaliwa.
v) Awe na kitambulisho cha NIDA.
vi) Awe na Bima ya afya [NHIF].
vii) Awe na TIN namba.
Pasiansi Wildlife Security Company Limited (PASCO)

Maombi yatumwe kwa:​

Mkurugenzi, Pasianis Wildlife Security Company Limited,
S.L.P 1432, MWANZA.
Email: [email protected] au [email protected]

Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 20 Disemba, 2024.
 
Back
Top Bottom