Nafasi za kazi 73 Wizara ya Ardhi December 2024

Nafasi za kazi 73 Wizara ya Ardhi December 2024

GiftVerified member

Administrator

Staff member
Reputation: 88%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
607
Wananchi, Hizi hapa Nafasi za kazi 73 Wizara ya Ardhi December 2024 zilizo tangazwa kwa watanzania wote wenye siffa, nia, ari na vigezo vyote waweze kutuma maombi kuanzia siku ya leo zilizo tangazwa na Sekretarieti ya Ajira kupitia Utumishi wa Umma Ajira portal.
Nafasi za kazi 73 Wizara ya Ardhi December 2024

Wizara ya Ardhi ilianzishwa kama idara ya Ardhi na baadae kubadilishwa na kuwa Wizara kamiliambayo ilibadilisha jina lake kulingana na majukumu ndani ya kipindi hicho mahususi. Jina lasasa ni Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ambazo zinajumuisha idara kuu zaKisekta ambazo ni : Utawala wa Ardhi, Upimaji na Ramani, Mipango ya Makazi. Sehemu kuu zaKisekta ni Usajili wa Majina, Uthamini wa Mali na Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya. Mbali nahilo, Wizara ina idara na vitengo mbalimbali vinavyosaidia kuongeza ufanisi wa kazi kama vile;Utawala ma Usimamizi wa Rasilimali Watu, Fedha na Hesabu, Ukaguzi wa ndani, Huduma zaKisheria, Sera na Mipango, Taarifa Mawasiliano na Teknolojia (TEHAMA), Habari – Elimu naMawasiliano na Usimamizi wa Ununuzi.

Ajira zilizo tangazwa​

NafasiMwisho wa kutuma maombi
AFISA USAJILI MSAIDIZI II (REGISTRATION ASSISTANT II) - 8 POST2024-12-17
AFISA RAMANI II (MAPPING OFFICER II) - 8 POST2024-12-17
FUNDI SANIFU II - UPIMAJI ARDHI (LAND TECHNICIAN SURVEY II) - 26 POST2024-12-17
AFISA ARDHI II (LAND OFFICER II) - 10 POST2024-12-17
MKUFUNZI II – (ARCHITECT) - 1 POST2024-12-17
MKUFUNZI II – (ENVIRONMENTAL MANAGEMENT) - 1 POST2024-12-17
MKUFUNZI II – (GRAPHICS AND DESIGN) - 1 POST2024-12-17
MKUFUNZI II – (LAND-REAL ESTATE FINANCE AND INVESTMENT) - 1 POST2024-12-17
MKUFUNZI ARDHI II – (GRAPHICS ARTS AND PRINTING) - 2 POST2024-12-17
MKUFUNZI ARDHI II – (LAND SURVEYOR) - 1 POST2024-12-17
MKUFUNZI ARDHI II – (GEOGRAPHICAL INFORMATION SYSTEMS) - 2 POST2024-12-17
MKUFUNZI ARDHI II – (LAND MANAGEMENT EVALUATION) - 4 POST2024-12-17
MKUFUNZI MSAIDIZI WA ARDHI – (LAND SURVEYOR) - 1 POST2024-12-17
MKUFUNZI MSAIDIZI WA ARDHI – (GRAPHICS ARTS AND PRINTING) - 2 POST2024-12-17
MKUFUNZI MSAIDIZI WA ARDHI – GEOGRAPHICAL INFORMATION SYSTEMS (GIS) - 1 POST2024-12-17
MKUFUNZI MSAIDIZI WA ARDHI (LAND MANAGEMENT, EVALUATION AND REGISTRATION) - 2 POST2024-12-17
MKUFUNZI MSAIDIZI WA ARDHI (CARTOGRAPHER) - 2 POST2024-12-17
Wizara ya Ardhi


Jinsi ya kutuma maombi​

Bonyeza hapa kutuma maombi ya kazi zilizo tangazwa Wizara ya Ardhi
 
Last edited:
Back
Top Bottom