Wananchi, Hizi hapa Nafasi za kazi 84 Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania Ajira Mpya TAA December 2024 zilizo tangazwa kwa watanzania wote wenye siffa, nia, ari na vigezo vyote waweze kutuma maombi kuanzia siku ya leo.
Ajira mpya TAA
Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) ni taasisi ya serikali iliyoanzishwa kwa ajili ya kuendesha, kusimamia, kudumisha, na kuendeleza viwanja vya ndege vinavyomilikiwa na serikali kwa mtindo wa usimamizi unaolenga kibiashara. Kama sehemu ya utekelezaji wa muundo wake wa shirika, TAA inakaribisha maombi kutoka kwa waombaji wenye sifa, ubunifu, na wenye malengo ya kufanikisha matokeo kwa ajili ya kujaza nafasi zifuatazo za kazi.Nafasi za kazi BOT
Pakua PDF hapa chini kama utakuwa na swali uliza.Attachments