Benki ya Mwanga Hakika Limited (MHB) ilianzishwa baada ya kuunganishwa kwa mafanikio benki tatu tofauti, ambazo ni EFC Tanzania Microfinance Bank (EFC), Hakika Microfinance Bank (Hakika), na Mwanga Community Bank (MCB).
Baada ya muunganiko huu, shughuli za MHB zimeongezeka kwa kasi, na sasa benki hii imekuwa benki ya kati inayochipukia hapa Tanzania, ikiwa na matumaini makubwa ya siku za usoni.
Kwa sasa, MHB inatoa huduma zilizobuniwa maalum kwa mahitaji ya wateja wake wa thamani.
Wateja wa MHB ni wa aina mbalimbali, kuanzia wajasiriamali wadogo, wa kati, hadi makampuni makubwa, ambao wanasambaa katika maeneo tofauti nchini.