Nafasi za kazi CCBRT Tanzania December 2024

Nafasi za kazi CCBRT Tanzania December 2024

Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.

Gift

Administrator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
1,576
Hizi hapa Nafasi za kazi CCBRT Tanzania Decemeber 2024 zilizo tangazwa kwa watanzania wote wenye siffa, nia, ari na vigezo vyote waweze kutuma maombi kuanzia siku ya leo.

CCBRT inalenga kuwa kituo bora cha huduma za afya maalum zinazopatikana kwa urahisi barani Afrika. Wanatoa huduma kama biashara ya kijamii ya afya na kupitia programu mbalimbali kwa jamii na watu walioko kwenye mazingira magumu zaidi. Tembelea ccbrt.org kujua huduma na programu zote wanazotoa.
Nafasi za kazi CCBRT Tanzania December 2024

Bodi ya Wakurugenzi ya CCBRT inajumuisha viongozi kutoka mashirika ya faida na yasiyo ya faida ambao wana moyo wa kusaidia malengo na dira ya shirika. Wajumbe wa bodi wanaamini kuwa kila shirika linahitaji uongozi imara na bodi yenye nguvu ili kufanikisha malengo yake. Mbali na majukumu yao ya kawaida, wanakuwa mabalozi wa shirika, wanashirikiana kutafuta pesa na ushirikiano unaohitajika ili kufanikisha malengo ya CCBRT.

Kuwa sehemu ya Bodi ya Wakurugenzi ya CCBRT ni nafasi nzuri kwa mtu mwenye shauku ya kuboresha uongozi na usimamizi katika sekta ya mashirika yasiyo ya faida.
 

Download PDF

Back
Top Bottom