Wananchi, Hizi hapa Nafasi za kazi Gold Crest Hotel December 2024 zilizo tangazwa kwa watanzania wote wenye siffa, nia, ari na vigezo vyote waweze kutuma maombi kuanzia siku ya leo.
Gold Crest Hotel Mwanza ni hoteli ya kisasa iliyopo katikati ya jiji la Mwanza. Iko umbali wa kilomita 10 tu kutoka uwanja wa ndege mkuu, hoteli yetu ina vyumba vya kisasa vyenye huduma zote muhimu. Pia, eneo letu la kipekee linawapa wageni urahisi wa kufika kwenye huduma za kibiashara kama benki na ofisi za kampuni mbalimbali. Tumejikita katika kutoa huduma bora kwa wateja wetu ili kuhakikisha wanapata uzoefu mzuri na wa kuridhisha.

Attachments