Nafasi za kazi GPSA Tanzania

Nafasi za kazi GPSA Tanzania Januari 2025

Orodha ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano au Jinsi ya kuangalia selection za form six selection 2026 Tamisemi
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la Form Six Selection 2026 hapa
Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini (GPSA) ni Taasisi ya Serikali iliyoanzishwa kwa Sheria ya Wakala za Serikali Na. 245 ya mwaka 1999 na kuanza kutekeleza majukumu kufuatia Tangazo la Serikali Na. 235 la tarehe 7/12/2007 na marekebisho ya mwaka 2012.

Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala anayo furaha kuwatangazia wananchi wote wa Tanzania nafasi za ajira ya muda kama ifuatavyo:
Nafasi za kazi GPSA Tanzania

Nafasi za kazi GPSA Tanzania 2

Nafasi za kazi GPSA Tanzania 3
 
Similar content Most view View more
Back
Top Bottom