Nafasi za kazi JAM MAONO December 2024

Nafasi za kazi JAM MAONO December 2024

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.

Gift

Administrator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
1,412
Hizi hapa Nafasi za kazi Chama cha ushirika wa Akiba na Mikopo cha JAM MAONO LIMITED, Arusha katika mpango mkakati wake wa kupanua wigo wa kutoa huduma imeanzisha huduma za uwakala wa fedha kwa mitandao ya simu na huduma za uwakala wa benki kupitia ofisi zake zilizopo eneo la Kimandolu – Jimbo la Arusha Mashariki ya KKKT, Dayosisi ya Kaskazini Kati.
Nafasi za kazi JAM MAONO December 2024

Kufuatia kuanzishwa kwa huduma hii Chama kinatangaza nafasi ya kazi ya KARANI WA FEDHA “Cash Teller” atakayehusika na kutoa huduma hizi kwa Wanachama na Jamii inayotuzunguka.

Pakua PDF hapa chini
 

Download PDF

Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom