Nafasi za Kazi Kampuni ya PIVOTECH | Ajira Mpya kwa Field Operation Officers- Trainees

Nafasi za Kazi Kampuni ya PIVOTECH | Ajira Mpya kwa Field Operation Officers- Trainees 06 Novemba 2024

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.

Gift

Administrator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
1,320
Gift submitted a new resource:

Nafasi za Kazi Kampuni ya PIVOTECH | Ajira Mpya kwa Field Operation Officers- Trainees - Tangazo la Nafasi za Kazi Kutoka Kampuni ya PIVOTECH | Ajira Mpya Field Operation Officers- Trainees

Hizi hapa Nafasi za Kazi Kutoka Kampuni ya PIVOTECH | Ajira Mpya Field Operation Officers- Trainees kwa watanzania wote wenye sifa waweze kutuma maombi.

Kampuni ya PIVOTECH Limited ilianzishwa mwaka 2007 kama wazo la marafiki waliokutana na kujadili masuala mbalimbali, yakiwemo changamoto za umeme nchini Tanzania. Marafiki hawa waliamini kuwa "kila tatizo huleta fursa mpya," na hivyo ndivyo wazo la kuanzisha kampuni lilivyozaliwa.

Ajira zilizo tangazwa​

1...

Read more about this resource...
 
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
Back
Top Bottom