Nafasi za Kazi Kibosho KVTC | Ajira Mpya Chuo cha Ufundi Tanzania

Nafasi za Kazi Kibosho KVTC | Ajira Mpya Chuo cha Ufundi Tanzania 20241109

Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.

Gift

Administrator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
1,576
Gift submitted a new resource:

Nafasi za Kazi Kibosho KVTC | Ajira Mpya Chuo cha Ufundi Tanzania - Tangazo la Nafasi za Kazi Kibosho KVTC | Ajira Mpya Chuo cha Ufundi Tanzania leo.

Hizi hapa Nafasi za Kazi Kibosho KVTC | Ajira Mpya Chuo cha Ufundi Tanzania zilizo tangazwa siku ya leo unauwezo wa kutuma maombi kuanzia sasa.

Karibu katika Kituo cha Mafunzo ya Ufundi Stadi Kibosho (KVTC), kitovu cha elimu ya ufundi stadi na maendeleo endelevu ya jamii kilichopo Kibosho-Umbwe, Moshi, Kilimanjaro. KVTC tumejikita katika kutoa mafunzo ya vitendo ili kuwapa wanafunzi ujuzi wa kujenga taaluma yenye mafanikio na kuchangia kwa namna chanya katika jamii.
[ATTACH...

Read more about this resource...
 
Back
Top Bottom