Utaratibu wa Uhamisho wa Watumishi wa Umma 2024/2025 | Kuhama kufata Wenza Utumishi

Utaratibu wa Uhamisho wa Watumishi wa Umma 2024/2025 | Kuhama kufata Wenza Utumishi 20241109

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.

GiftVerified member

Administrator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
1,180
Gift submitted a new resource:

Utaratibu wa Uhamisho wa Watumishi wa Umma 2024/2025 | Kuhama kufata Wenza Utumishi - Tangazo la Utaratibu wa Uhamisho wa Watumishi wa Umma 2024/2025 | Kuhama kufata Wenza Utumishi PDF

Hizi hapa fomu za maombi ya Utaratibu wa Uhamisho wa Watumishi wa Umma 2024/2025 | Kuhama kufata Wenza Utumishi, Jinsi ya kubadili kituo kimoja kwenda kingine TAMISEMI PDF ipo juu.

Sheria na Kanuni za Utumishi wa Umma zinaeleza jinsi watumishi wa umma wanavyoweza kuhamishwa kutoka kwa mwajiri mmoja kwenda kwa mwingine. Hii ni kwa mujibu wa Sera ya Menejimenti na Ajira ya mwaka 2008, Sheria ya Utumishi wa Umma Sura 298, pamoja na Kanuni za mwaka 2022 na 2009. Utaratibu huu unafanywa...

Read more about this resource...
 
Similar threads Most view View more
Back
Top Bottom