Gift submitted a new resource:
Jinsi ya Kupata Kibali cha Uhamisho kwa Mtumishi wa Umma 2024/2025 | Utumishi au TAMISEMI - Hatua: Jinsi ya Kupata Kibali cha Uhamisho kwa Mtumishi wa Umma 2024/2025 | Utumishi au TAMISEMI
Read more about this resource...
Jinsi ya Kupata Kibali cha Uhamisho kwa Mtumishi wa Umma 2024/2025 | Utumishi au TAMISEMI - Hatua: Jinsi ya Kupata Kibali cha Uhamisho kwa Mtumishi wa Umma 2024/2025 | Utumishi au TAMISEMI
Hatua Muhimu za au jinsi ya Kuomba Kibali cha Uhamisho kwa Mtumishi | Watumishi wa Umma 2024/2025 Kutoka kwa Katibu Tawala wa Mkoa kwenda TAMISEMI.
Kwa mtumishi anayehitaji kuhamishwa kwenda sehemu nyingine kupitia TAMISEMI, ni muhimu kuwa na nyaraka zote zinazohitajika ili kuharakisha mchakato wa kuidhinisha uhamisho wake. Hapa ni mwongozo wa nyaraka na maelezo yanayohitajika:
- Barua ya Maombi ya Kibali cha Uhamisho kutoka kwa Mwajiri (Mkurugenzi): Mwajiri wa...
Read more about this resource...