Jinsi ya Kuhama kama Mtumishi wa Umma kutoka kituo kimoja cha kazi kwenda kingine | TAMISEMI 2024/25

Jinsi ya Kuhama kama Mtumishi wa Umma kutoka kituo kimoja cha kazi kwenda kingine | TAMISEMI 2024/25 20241109

Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.
Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.

GiftVerified member

Administrator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
1,180
Gift submitted a new resource:

Jinsi ya Kuhama kama Mtumishi wa Umma kutoka kituo kimoja cha kazi kwenda kingine | TAMISEMI 2024/25 - Jinsi ya Kuhama kama Mtumishi wa Umma kutoka kituo kimoja cha kazi kwenda kingine | TAMISEMI 2024/25

Hizi hapa hatua, Jinsi ya Kuhama kama Mtumishi wa Umma kutoka kituo kimoja cha kazi kwenda kingine | TAMISEMI 2024/25 au Utumishi

Mamlaka za Uhamisho​

Kwa mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 8 ya mwaka 2002 pamoja na Kanuni za mwaka 2003, Mamlaka za Uhamisho ni kama ifuatavyo:
  • Katibu Mkuu Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma: Mamlaka ya jumla ya uhamisho.
  • Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI: Uhamisho wa...

Read more about this resource...
 
Back
Top Bottom