Nafasi za Kazi Kutoka Bodi ya Nyama Tanzania (TMB) | Utumishi PDF

Nafasi za Kazi Kutoka Bodi ya Nyama Tanzania (TMB) | Utumishi PDF 28 Octoba 2024

Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.

Gift

Administrator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
1,576
Gift submitted a new resource:

Nafasi za Kazi Kutoka Bodi ya Nyama Tanzania (TMB) | Utumishi PDF - Kama una sifa na nia basi tuma maombi kupitia ajira portal katika ajira mpya Bodi ya Nyama Tanzania

Leo tarehe 28 Octoba 2024 PSRS wametangaza nafasi za kazi Kwa niaba ya Bodi ya Nyama Tanzania (TMB), Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) inakaribisha Watanzania wenye sifa stahiki, wenye bidii, wepesi, wenye uzoefu, na waliohitimu ipasavyo kujaza nafasi tatu (3) zilizo wazi kama ilivyoainishwa hapa chini;

Bodi ya Nyama Tanzania (TMB)​

Bodi ya Nyama Tanzania (TMB) ilianzishwa chini ya kifungu cha 8 cha Sheria ya Sekta ya Nyama, Na. 10 ya mwaka 2006 (Sura...

Read more about this resource...
 
Back
Top Bottom