Nafasi za Kazi Kutoka DHWYT Tanzania | Ajira Door of Hope to Women and Youth Tanzania

Nafasi za Kazi Kutoka DHWYT Tanzania | Ajira Door of Hope to Women and Youth Tanzania 29 Octoba 2024

Orodha ya majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano au Jinsi ya kuangalia selection za form six selection 2026 Tamisemi
Bonyeza hapo juu kujiunge na Group la Form Six Selection 2026 hapa

Gift

Administrator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
1,648
Gift submitted a new resource:

Nafasi za Kazi Kutoka DHWYT Tanzania | Ajira Door of Hope to Women and Youth Tanzania - Tangazo la Nafasi za Kazi Kutoka DHWYT Tanzania - Ajira mpya kwa watanzania wote wenye sifa 2024.

Tangazo la nafasi za kazi kutoka shirika la DHWYT lililopo Tanzania, Katika ajira mpya hizi unashauriwa kutuma maombi ya kazi mapema bila kuchelewa siku ya mwisho.

Door of Hope to Women and Youth Tanzania (DHWYT) ni shirika lisilo la kiserikali na lisilo la faida lililoko Mtwara, Tanzania. Tangu kuanzishwa kwake mwaka 2016, shirika hili limekuwa likijitahidi kukuza na kuwawezesha Vijana na Wanawake wa Kitanzania kutumia uwezo wao wa kiakili na kimwili katika kugundua na...

Read more about this resource...
 
Similar content Most view View more
Back
Top Bottom