Nafasi za Kazi Kutoka Kampuni ya AKO Group Tanzania | Ajira Mpya

Nafasi za Kazi Kutoka Kampuni ya AKO Group Tanzania | Ajira Mpya 2024

Hatua za Kuuliza swali. Anza na Title ya swali kisha Chini yake weka maelezo kuhusu swali lako.
NB: HATUJIHUSISHI NA VITU VINGINE ISIPOKUWA AJIRA.
Bonyeza hapo kujiunga nasi kupata matangazo mbalimbali ya kazi, Maswali ya Usaili.

Gift

Administrator

Staff member
Reputation: 100%
Joined
Oct 19, 2024
Messages
1,576
Gift submitted a new resource:

Nafasi za Kazi Kutoka Kampuni ya AKO Group Tanzania | Ajira Mpya - Nafasi za kazi zilizo tangazwa na Kampuni ya AKO Group Tanzania - Ajira Mpya za Makampuni.

Hizi hapa Nafasi za kazi zilizo tangazwa na Kampuni ya AKO Group Tanzania - Ajira Mpya za Makampuni kwa watanzania wote wenye nia na sifa za kutuma maombi ya kazi.

AKO GROUP LIMITED ilianzishwa jijini Dar es Salaam mwaka 1991 na ni kampuni tanzu ya SF Group of Companies Limited. Kampuni hii ilianzishwa kwa lengo la kuchochea ubunifu katika sekta ya upishi nchini Tanzania kwa kutoa huduma bora inayotolewa na kampuni ya kizalendo iliyo na viwango vya kimataifa.

Ajira zilizo...​


Read more about this resource...
 
Back
Top Bottom